Msaada wenu please: Mama watoto amepoteza hapo ya tendo

Msaada wenu please: Mama watoto amepoteza hapo ya tendo

mkuu MziziMkavu nashukuru sana kwa ushauri wako. Naahidi kuufuatilia huu na kuona matokeo yake. Utaipata feedback Mungu akipenda. Ila vipi hivi vitu vyote vinachanganywa au?..namaanisha hiyo juisi ya tangawizi + yai +asali, ni mchanganyo au mbalimbali? MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mh,it feels so bad kukosa hamu jaman usikie tu kwa mwenzio,kwanza inamuathr mwenzako anaeza fikiria vitu ambvy havpo nj pili kwa anayekosa anahs atasalitiwa muda wowote, mshirikisheni Mungu jambo lenu kwanza,pia jaribu kumpa nafasi yan ucmuanze wala uczungumzie hlo tendo kwa muda,.wazenji wana juis ya tende na maziwa,huwa inasaidia kwa walojaribu.pa1 na shauri nyngndm hapo juu,sh wil b ok
 
Nashukuru Lisa kwa ushauri wako. Mara zote nikiongea nae huwa ni kwa upole na huwa ni mda ambao ametulia, muda ambao huwa tunaweza kujadili mambo yetu na familia yetu kiujumla. Nitazidi kuongea nae na kutafuta ufumbuzi zaidi. Mpaka sasa nimegundua kuwa anasumbuliwa na stress, kitu ambacho nimejaribu sana kum-cancell, huwa ananielewa but nahisi bado
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Fikra mlazo. Nimejaribu hilo la kutokuzunguzia wala kumuanza but huwa nashindwa mimi, coz huwa na hamu najikaza ila baada ya mda najikuta naanza tu, yeye mwenzangu huwa hana habari, hivyo nikikaa kimya, ye huendelea na shughuli zake kama kawaida. Ahsante sana kwa ushauri, kumuomba Mungu katika hili ni jambo la msingi, nitafanya hilo pia. natamani ningekuwa huko Zenji ningepata walau wasaa wa kupata hiyo juisi. Aisee hii ishu si mchezo ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Usiseme hajawahi kabisa ndg yangu...huwezi jua maana anaweza fanya sirI na kaenda kuchoma sindano bila wewe kujua..
 
Nina uhakika na hilo 100%...ndiyo maana nikasema hivyo. Nipo nae na hospitali mimi ndiyo nampeleka na mpaka chumba cha daktari naingia mimi coz lugha ya watu wa huku haifahamu, so every step of hers naifahamu na the way she is hawezi fanya hilo,na pia tumejijengea utamaduni wa kuambiana kila kitu na kushuriana Babyemma
 
Last edited by a moderator:
Ugonjwa wa kisukari hana ila ni mwembamba. Njia zozote ambazo naweza zitumia kuongeza uzito?..your second advice please Kaka Yao
 
Last edited by a moderator:
chwechinyong
kutokuwa na hamu?
inawezekana na kazi nyingi sana,
au kuna matatizo ya kifamilia,
pengine kuna kitu alisikia kuhusu wewe

Jitahidi uwe unatoka naye
mwambie jinsi unavyompenda
weka wazi mipango yako ya mbele kwake
mpe mahitaji yake anayohitaji na wazazi wake au ndungu zake jadili naye namna ulivyo na mikakati ya kuwasaidia

Mwambie unavyotaka kumwendeleza,
mwambie kila mara kuwa 'nakupenda sana mke wangu'

nitarudi tena hapa.

Ahsante Mamndenyi. Vipi huna ushauri wowote?
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Lisa kwa ushauri wako. Mara zote nikiongea nae huwa ni kwa upole na huwa ni mda ambao ametulia, muda ambao huwa tunaweza kujadili mambo yetu na familia yetu kiujumla. Nitazidi kuongea nae na kutafuta ufumbuzi zaidi. Mpaka sasa nimegundua kuwa anasumbuliwa na stress, kitu ambacho nimejaribu sana kum-cancell, huwa ananielewa but nahisi bado
Sawa chwechinyong Endelea kumbembeleza na penda kuwa karibu naye kila unapokuwa home, ili ujue hizo stress zimetokana na nn, na ukishajua chukua hatua.Maana unaweza kuta kaambiwa maneno mabaya kuhusu wewe, na kukuuliza anashindwa anabaki kukuangalia, hiyo kwa wanawake wengi hupoteza upendo na uaminifu kwa waume zao, so wakati wa Tendo la ndoa akifikiria yale maneno, perfomance lazima iwe poor, hamuuuuuu yoteeeeeee huisha,Tafadhali fuatilia utajua tu. Nakutakia kila la Kheri katika Ndoa yako.
 
Pole sana ndugu yangu, Wakati mwingine life style nayo uchangia. Kwa upande wako unaweza kudhani kuwa unapata muda wakutosha kuongea naye. Pengine ana majukumu ya kazi yaliyopitiliza kama ni mfanyakazi wakati mwingine anafanya kazi kwa ugumu au mazingira yake ya kazi si mazuri nayo uchangia kupoteza hamu na kukata tamaa ya kila kitu.



Pia wakati mwingine kama ni mama wa nyumbani ana shughuli nyingi na hivyo kuchoka sana. Nayo upoteza hamu ya tendo la ndoa.

Jaribu kuongea naye ujue mazingira yanayomzunguka hasa nje ya nyumbani unaweza kupata suluhisho.
 
Back
Top Bottom