Msaada wenu, ninapata vipele vidogo na vinawasha sana

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,640
4,447
Wakuu, habari za humu,

Naomba msaada uwa na tatizo kuwa na vipele vingi vidogovidogo usoni na kwenye kifua vinawasha sana naomba msaada kwa anayejua mafuta au sabuni ya kuondoa anisaidie jina lake nikanunue.
 
Back
Top Bottom