Msaada wenu ma doctor

Osmokalu

Senior Member
Nov 13, 2015
185
147
Nina shida,nahitaji ushauri wa ma ma 2
(1)Nina tatizo la Hernia nikifanyiwa operation itanichukua siku ngapi ili niweze kuendeleza na kazi zangu za ofisini nipo katika shirika la mtu binafsi
(2)Kuna hii dawa ya kuondoa nywele hasa ndevu,kwapani na sehemu za siri inaitwa Blue valley au Hair remover cleaner.Je inamadhara gani na faida gani kiafya.Asanteni nawasilisha
 
(2) Faida ni kua inaondoa nywele,
Madhara kama unatumia kwenye sehemu za siri nakushauri acha, ukisoma maelekezo hata wao wamekwambia ndevu na kwapani tu.

Hasa wanawake, nawashauri sana kutokutumia hizo Hair Remover sehemu za siri kama Veet, Magic, n.k.
 
Shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom