mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
wakuu kuna mdogo wangu anapenda sana kujiunga na hiki chuo... Jina lake lime onekanAa UDSM kwenye multiple selection.... Kati ya course code anazoonekana kuwa amekubaliwa ni DMI02 ambapo bila shaka ni Dar es salaam marine instute kwani alichagua huko.... tumehangaika sana kutazama jina lake kwenye website ya chuo hicho pasipo mafanikio kutokana pia na hata arrangement ya website yao kuwa na matatizo kadha wa kadha.... ninaombeni ushauriwenu wakuu nitaonaje orodha kamili ya waliyo chaguliwa chuo hiki ama kama kuna mtu anaeweza kutazama anisaidie kuangalia jina la mdogo wangu.... nawasilisha