Msaada wenu jf kuondoa security code nokia 105

Msaada wenu jf kuondoa security code nokia 105

Joined
Dec 18, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Kuna mtu aliweka cm kwangu nokia 105 nikampa hela kisha akatokomea yapata miezi 2 sasa ila nikiwasha inaomba security code .
Huduma ya kuflash ipo umbali wa 192 km nifanyeje.
 
Back
Top Bottom