naomba kujuzwa website ambayo naweza order and purchase online in secure way MFANO kuorder DIGITAL DICTIONARY online e.t.c..na delivery kupitia DHL na EMS..NAOMBA MSAADA WENU WADAU
si website inayokua secure bali ni seller anayeuza.
Website za kununulia vitu kama ebay na amazon wao wanakua ni ma agent tu na kunakua na seller wanaouza hivo vitu.
Mfano simu inauzwa utaona kwa chini kuna seller/shipping information itabidi umclick ili upate taarifa zake zaidi.
unakuta seller ni wa marekani unaweza nunua kitu asikilete kwako maana kwenye maelezo yake hajaandika kua anaship africa so japo ni trusted na secure lakini usipate bidhaa
Pia angalia upande wa kulia juu utaona hao seller wamekua rated usuall seller wazuri wana 99% na wameekewa badge
Inategemea na hicho unachotaka kununua kinapatikana wapi na wanatumia njia gani kufanya malipo
So far ukipata seller wanaofanya malipo through pay pal ni salama zaidi, maana wao wanasimama katika kama bima, hawa ndio mimi huwajua haswa ninapo shop ebay na amazon
Pay Pal sio site ya kununua bali ni kwa ajili ya kulipa tu kwa online purchases. Moja ya site nzuri ni ebay...in any case kama unanunua kitu online ask if can pay via Pay Pal ili uwe na guarantee kuwa pesa yako haitapotea.
ushuru wa hapa tz ni mkubwa,kama unafanya shipment ya mzigo mkubwa ndo utapata faida, ila single iterm inakuwa kazi, ndo maana unawezakuta ipad labda dola 455nje hapa tz inauzwa 1,500,000, hii ni kwa gadgets,ila kama unanunua software, utaipata kama ilivyo kwa bei ile ile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.