Msaada wazoefu kuhusu simu za viwa x7 na max5

Msaada wazoefu kuhusu simu za viwa x7 na max5

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari wadau wa Jukwaa hili
Mimi sio mtumiaji wala muuzaji wa simu hizi.
Lakini nimetokea kukutana na matangazo mengi ya wanaoziuza simu hizo,lakini naamini wanaoweza kusema ukweli kuhusu ubora wake ni watumiaji.

Naomba kama kuna mtu anazifahamu au ameshawahi kutumia simu hizi anielezee kidogo hapa experience yake.
 
ni simu za bei rahisi sana na siku zote good quality doesy come cheap, ni simu ambazo hazina soko
 
Back
Top Bottom