Msaada wazoefu :jinsi ya kuumiliki kihalali mgodi

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,414
Salaam waungwana .mimi niligundua sehemu ina dalili za kuwa na tanzanite maeneo ya nzega ,tabora tetesi alinipa mzee mmoja mlinzi nikaamua kufatana naye safari hadi kijijini ,kucheki nikaona dalili fasta nikamtafuta mzee mmoja sonara mkongwe alitokea kongo nikiepuka kumkodi proffessional geologist atanizunguka au atawatonya wenye fedha ,mzee akafanya vipimo pale akanihakikishia ,fasta nikaenda kwa mwenyekiti wa kijiji nikanunua eneo la ekari 30 kwa bei chee ila nikaandikisha na mhusika mkataba hadi kwa wakili kabisa .sasa najiuriza nafanyaje ili itambulike kisheria pana madini na ni pangu.
 
Una kampuni ya kutafuta madini? Kama unayo ni simple kuomba SML pale wizarani otherwise nadhani kama unataka kuwa owner wa kila kitu fungua kampuni ya kutafuta madini, ajiri wafanyakazi hiyo ni onestep then go ahead kwa kuomba SML uanze kuchimba.
Otherwise ongea na makampuni ya utafiti mfikie agreements yakafanye kazi.
 
dogo...itaarifu serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania kuwa umegundua nyara za serikali na uzikabidhi kwa mh. rais kikwete Kinyume cha habo naona uanataka kufungwa..ndio..unataka kujimilikisha nyara za serikali????...in one way wewe hunatofauti na mafisadi wengine....pole sana kwa kugundua tanzanite nzega tabora na wala sio arusha..pole sanaaaaaa.
 
ohhh...nimekumbuka...ni-pm nitakugea number ya riz kisha ataongea na mshua maana naskia dogo anamiliki mgodi wa dhahabu huko tanga kwenye eneo la hifadhi ya taifa kwa ushirikiano na wamarekani soo dogo atakupa michongo yote nwa mtaanza kuihujumu nchi yetu nyie wawili na kutudhulumu sie watz milion 45....am serious
 
dogo...itaarifu serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania kuwa umegundua nyara za serikali na uzikabidhi kwa mh. rais kikwete Kinyume cha habo naona uanataka kufungwa..ndio..unataka kujimilikisha nyara za serikali????...in one way wewe hunatofauti na mafisadi wengine....pole sana kwa kugundua tanzanite nzega tabora na wala sio arusha..pole sanaaaaaa.
Yaani hata leo zitto kaongea hatuishi kwenye ujamaa tena ,unaumia mimi ndugu yako kumiliki mgodi halafu husemi kitu kuhusu barricks e.t.c sheria zinaruhusu ,huwezi niita fisadi mimi wakati sijawahi shika mali ya umma labda kukwepe vikodi ushwara ,asee kuna vijana wanaoishi enzi za ujamaa kama hawa
 
dogo...itaarifu serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania kuwa umegundua nyara za serikali na uzikabidhi kwa mh. rais kikwete Kinyume cha habo naona uanataka kufungwa..ndio..unataka kujimilikisha nyara za serikali????...in one way wewe hunatofauti na mafisadi wengine....pole sana kwa kugundua tanzanite nzega tabora na wala sio arusha..pole sanaaaaaa.
Point of collection... hiyo ilikuwa enzi za ujamaa skuizi by law yanauzwa ishu ni u-abide na sheria example ripa tax ,royarities ,and responsibility to indigeneous basi kwani barrick wao nao wasikkabidhi nyara
 
mkuu nenda OFISI ZA madini HAPO NZEGA omba leseni ya utafiti wa madini wao watatuma wizarani ukisha pata then fanya utafiti katika eneo hilo na baada omba kupimiwa eneo kwa ajili ya utafiti kwa sheria ya sasa utafiti una dumu kwa miaka 7.

Usihofu process ni rahisi ila cheza na jamaa wa pale NZega ofisi ya madini.
 
mkuu nenda OFISI ZA madini HAPO NZEGA omba leseni ya utafiti wa madini wao watatuma wizarani ukisha pata then fanya utafiti katika eneo hilo na baada omba kupimiwa eneo kwa ajili ya utafiti kwa sheria ya sasa utafiti una dumu kwa miaka 7.Usihofu process ni rahisi ila cheza na jamaa wa pale NZega ofisi ya madini.
asee nakushukuru mkuu,ur such a help
 
mkuu

tafuta GPS .... record coordinates za eneo lako ... nenda ofisi ya madiniya kanda ... the process may take you seven days to get a minning licence at the specific land ,,,, nanamaana utapewaleseni ya utafiti na uchimbaji madini .... lesseni ya utafiti utaipata siku hiyo hiyo ...
 
Mkuu nadhani unaota ndoto za mchana umenikumbusha mstari wa mwana FA "Mimi ni almas mchangani sema tu sijastukiwa" or sorry kumbe ni mstari wa 50 cent "I'm the diamond in the dirty that haven't been found". Endelea tu kuota ndoto za mchana
 
dili nyingine kama hizi sio za kuleta jf ni za kuzifanya kimya kimya tu
 
Mkuu nadhani unaota ndoto za mchana umenikumbusha mstari wa mwana FA "Mimi ni almas mchangani sema tu sijastukiwa" or sorry kumbe ni mstari wa 50 cent "I'm the diamond in the dirty that haven't been found". Endelea tu kuota ndoto za mchana
wewe na lulu mnaendana kifikra! is there any way u can convice me that u are not a teenager
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom