Mkuu pole kwa mkasa,lakini huhitaji kuwaza maana binti si mwanafunzi na kama sikosei yuko above 18,sasa hofu iko wapi?,hakuna sheria inayozuia mtu kufanya mapenzi hapa nchini kwetu ikiwa wahusika si wanafunzi na wana miaka kuanzia 18.
So muhimu wakija wasikilize,wakikuwakia waambie wakupele wanakojua kuwa watasaidiwa.
Relax na unywe maji moyo uelee.