guzman_ JF-Expert Member Joined Jan 27, 2016 Posts 1,277 Reaction score 2,463 Apr 7, 2026 #1 Habari ndugu wana JF Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania. Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
Habari ndugu wana JF Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania. Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,171 Reaction score 75,662 Apr 7, 2026 #2 Mkuu Nimewaita Wana JF Wanakuja
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 27,815 Reaction score 53,970 Apr 7, 2026 #3 Mbona huelezei ubora wake na kama ulishawahi kuzitumia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,395 Reaction score 195,236 Apr 7, 2026 #4 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,553 Reaction score 100,686 Apr 7, 2026 #5 Hizi hydraulic ram pumps naonaga watu wanazipenda kuliko za kawaida. Hafu bongo bado challenge kuzipata ila zipo kuna maonyesho ya week ya maji niliziona.
Hizi hydraulic ram pumps naonaga watu wanazipenda kuliko za kawaida. Hafu bongo bado challenge kuzipata ila zipo kuna maonyesho ya week ya maji niliziona.