msaada waungwana

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,592
5,481
waungwana jamani salama,tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa kupata nafasi ya kuvolunteer,tangu nimalize chuo sasa yapata nina wiki mbili kitaa,taaluma yangu ni electrical installation ngazi ya level 2,msaada ninaoutaka ni kupata tu nafasi katika kampuni yoyote kwa maana jamani kitaa kigumu kukaa tu home kunachosha,Aliye tayari kunisaidia ani Pm.namba yangu ni O7183O2132
 
Have you tried to apply for any job vacancy (of your career)?

There is no need ku-volunteer kwa fani kama yako. It's better if you try to submit CV zako in different companies.
 
Back
Top Bottom