Msaada waungwana

Msaada waungwana

Muulize mheshimiwa Google atakujibu, ukikosa subiria wataalam watapita hapa mimi sifahamu.
 
Nimefurahia jibu lako, waswahili wavivu sana kufanya research hata hizi ndogo ndogo.
 
Ni kweli mkuu, ila kuna wengi wetu hawafahamu matumizi ya basic search engines kama google, ni mapungufu ya mfumo wetu wa elimu inabidi twende nayo hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom