MSAADA WATU WA IT KUIBIWA SIMU YA ANDROID

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Ndugu wana jamii forum nimeibiwa simu yangu aina Ya TECNO W4 Na imei zake nimesahau nifanyeje au ndio imeenda
 
Ungekuwa unakumbuka Imei ningekusaidia ila kwa vile huzikumbuki huwezi kuipata.
 
Ndugu wana jamii forum nimeibiwa simu yangu aina Ya TECNO W4 Na imei zake nimesahau nifanyeje au ndio imeenda

Jioni hii maduka mengi ndio yanafungwa, wahi mapema kama pesa ipo mfukoni ununue nyingine lakini habari ya kuipata hiyo sahau labda kama umeidondoshea chumbani kwako au huyo mwizi ndio kwanza anajifunza.

Ulimwengu wa sasa jitahidi kuvificha vitu vyako vya thamani mbali na mikono yao wenye tamaa maana hata ungekuwa unaikumbuka IMEI kwa simu kama hizo Tecno ni rahisi sana kuibadilisha ni kazi ya ndani ya dakika moja.

*POLE*
 
Mkuu hii kama umeibiwa vijijini utaipata lakini ikibadilishwa imei number umeikosa, kama umeiroot inawezekana kukamata mwizi wako

Rakims
 
Nenda polisi watakuambia uwape namba ya lain iliyokua unaitumia mara ya mwisho kwenye ile simu, ila inakua cost kdg japo uhakika wa kuipata upo
 
Upo mkoa Gani ulikuwa unatumia Google email kwenye hiyo simu?kama ulikuwa unaitumia hivyo nipe namba yako ya simu unayopatikana sasa hivi nikuelekeze Jinsi ya kuipata hiyo I'm imei pia nikuunganishe na mtaalamu atakayekusaidia (cybercrime )
 
Dar
 
07-58494651
 
Natumia lenovo vibe X2Pt5 Ila haisapot Google play service naomba msaada wa namna ya kuupload na kufanya installation ktk simu hii
 
Back
Top Bottom