Asante,kinachonishangaza mimi nina majina zaidi ya 300 na watsapp ktk simu inafanya kazi lakini mbona hao watumiaji siwaoni.ninapoingia ktk app. Hii ninakutana na neno hili'tell your friends about watsapp'zinakuja option nyingi mfano niwambie in watsapp,sms,twiter,fb nk. Nifanyeje hapo?