- Thread starter
- #21
kwanza wewe jinsia gani??
Mi kidume!
kwanza wewe jinsia gani??
Nampenda kwa dhati lakin nikimuambie anasema mimi ni walewale.
Sasa mimi nashindwa kujua kauli "walewale" humaanisha nin.
Anaejua anisaidie basi.