yani we ni sawa na wale aliokuwa nao ambao ni waongo
kuna sehemu umeongea point sana AMPE HELA hapo kila kitu kitakuwa swafi sanaanalijua hilo, ndio maana nikamwambia ili binti amuelewe inabidi ampe zawadi ya kiasi kikubwa cha pesa na kwenda kujitambulisha kwao kama kweli anamaanisha na awaambie na wazazi na ndugu zake wamsindikize kwa huyo anayempenda akajitambulishe kwa wazazi wake.
Muulize yeye anajua maana yake.
Afu pia umri wako maana nahisi ni minor wewe pia kama hujaelewa amaanishacho
kuna sehemu umeongea point sana AMPE HELA hapo kila kitu kitakuwa swafi sana
Wadanganyifu( walewale).
Aisee haka kamvua safi sana.
Kulikuwa na joto kali kinomaaa.
Dah. Asante Mungu.
unapenda hela sana mangi........hahahaa angalia ztakutokea puan hzo! Shaur yako
kwanza wewe jinsia gani??