KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,146
- 40,912
Salaam wakuuu...
Ninatumia simu aina ya BlackBerry 9800....kuna dogo nilimpa anishikie mara moja...huku JF application ikiwa hewani..lakini cha ajabu aliponikabidhi simu yangu....kila nikifungua JF haifungui isipokuwa inaniletea ujumbe unaosema....APN settings not seen to be correct...tatizo linaweza kuwa nini wakuu.....?
Nahitaji msaada wenu ili nami niweze kuperuzi JF....na tatizo hilo lipo kwenye JF application pekee....