Msaada wataalam wa computer

Turudi pale Rau Madukani

JF-Expert Member
Jan 16, 2016
2,151
4,716
The drive is not ready for use; its door may be open. Please check drive A: and make sure that a disk is inserted and that the drive door is closed.
Inaandika hayo maneno hapo juu na inajirudia mara kwa mara. Imeanza kufanya hivyo mara baada ya kupiga window kwa mujibu wa maelezo niliyopewa hapa.
 
Nenda bios setting embu kaset first boot device weka disk yenye window.(disk uliyo install windows.)


Namaanisha hard disk.

Nahisi itakuwa first boot device bado ipo kwenye cd drive. Mana ndo inakuwa inaitwa cd driveA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom