msaada wataalam modem

msaada wataalam modem

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
naomba kujuzwa modem ya kampuni ipi inaweza kuwa flashed? nanitaweza vipi kuiflash ili iweze kutumika line za mitandao yote?nisaidieni
 
Sio lazima kuflash kama mimi natumia moderm ya voda k3570-z ila natumia bila hata kuiflash fanya kutafuta humu ndani kuna mtu aliandika jinsi ya kutumia nokia pc na kutumia line zote kama mimi nilivyokuambia hapa nilipo natumia line ya Airtel na mambo yapo kama kawa so fanya kutafuta humu ndani utapata usiende mbali ningekuwa naweza kuweka link ningetafuta then ningekuwekea.
 
Vodafone zte.Alafu sio lazima kuiflash.Kuna njia pia unaweza kuiset ikatumia line zote
 
Zte zote na huawei zote ni kugusa tu mkuu
 
Usiumize kichwa Join air + drivers kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom