Hata hivyo hawawezi kukutumia mkuu shurti uje mwenyeweNiko mbali waweza nipatia mawasiliano na wauzaji Mkuu? Ntashukuru sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nashinda jf.
SAA ngapi mnikutext then Mkuu?Mimi huwa nashinda jf.
Kwahiyo ukinitext pm nitarespond.
Kilevi changu ni jf ndugu, sinywi pombe wala sihusudu mademu.
Pamoja mkuu
Hapana nisaidie Mkuu then ntatafuta kinda wa basi nimuagize aniletee
Vipi Mkuu ushaenda?Mimi huwa nashinda jf.
Kwahiyo ukinitext pm nitarespond.
Kilevi changu ni jf ndugu, sinywi pombe wala sihusudu mademu.
Pamoja mkuu
Nenda kwa prashanti maduka makubwa utazikuta za kila namna na kama haipo unaweka oda anakuletea tu mkuu
Mkuu Niko mbali, hebu nipe namba zao basiNenda kwa prashanti maduka makubwa utazikuta za kila namna na kama haipo unaweka oda anakuletea tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Being gani Mkuu, waweza nipa mawasiliano yaomi nimenunua makambako