Msaada. Wapi pakulipa kodi ya ardhi wilaya ya ilala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada. Wapi pakulipa kodi ya ardhi wilaya ya ilala?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Zasasule, Oct 28, 2012.

 1. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  HAbari zenu wakuu....
  nahitaji msaada. je ni sehemu gani kodi ya ardhi inapolipiwa kwa wilaya ya ilala? na je kwa sasa hv ni kiasi gani hiyo kodi kwa ajili ya nyumba ya makazi. na nyumba ya makazi na biashara??

  natanguliza shukran
   
Loading...