Msaada, wapi? Pa kuwapata hawa

Msaada, wapi? Pa kuwapata hawa

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Jmn naomben msaada wap/sehem gani (hotel au eneo) ambapo kuna wasichana/wanawake wanajiuza (malaya) kwa hapa mwanza
nina shida nao nataka kukamilisha Research yangu
msaada tafadhal!
 
Research? Nenda nyanhomango kule kwenye karasha ya nyanza road.
 
Tafuta Police Post yoyote halafu uulize hiyo shida yako...
 
Hahaha. Hadi unaandika proposal ulikuwa haujajua unatarget wapi?
 
Tafuta Police Post yoyote halafu uulize hiyo shida yako...

.......aulisie afante ghati pale bholisi,hapo ndipo utachua kuwa elfu mocha ina kibhuri ngapi na uwende ukiwa umeshiba kabisa .au mwambie msee watu8 akuelekeze
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. Hadi unaandika proposal ulikuwa haujajua unatarget wapi?

jamaa ananjaa tu afu mfuko mweupe kama wangu hapa so inabidi atafute genge la mama lishe japo apimiwe wali wa jero.
 
Samahani, ni Chit Chat kweli, ila aah! Thread kama izi ni upuuzi mtupu wala hazina mashiko, na kuna watu humu tunakuona ovyooo.. Mwanaume alie kamilika hana utumbo utumbo kama wako. Jipange
 
Samahani, ni Chit Chat kweli, ila aah! Thread kama izi ni upuuzi mtupu wala hazina mashiko, na kuna watu humu tunakuona ovyooo.. Mwanaume alie kamilika hana utumbo utumbo kama wako. Jipange

Amesema anataka kufanya RISECHI bhana, msaidie kumwelekeza aisee
 
Samahani, ni Chit Chat kweli, ila aah! Thread kama izi ni upuuzi mtupu wala hazina mashiko, na kuna watu humu tunakuona ovyooo.. Mwanaume alie kamilika hana utumbo utumbo kama wako. Jipange

Anasema ni kwaajili ya research..
 
Nenda pale makaburi ya MV Bukoba,utakuta walinzi,waulize. Ni maeneo hayohayo.
Ukiona huko taabu nenda Igogo,huko nako ukiona shida, nenda ziwani kaulizie wavuvi kuwa CD ya mapanki ilitengenezwa wapi?!
Hapo utawakuta na wako vere vere kooperativu..
 
Kuna m2 alniambia pale makoroboi wapo!
But nna kama mara 3 naendapo lkn hakuna lolote can someONE anaweza niambia kama wameisha hamb pale au wako likzo
but
Akhsanten jmn
ngoja nijarbu kuenda hzo sehemu
 
Research yako ni ya nini? au ndio mnataka kujua idadi ya wafanyao mapenzi ki nyume na maumbile?
Kuna m2 alniambia pale makoroboi wapo!
But nna kama mara 3 naendapo lkn hakuna lolote can someONE anaweza niambia kama wameisha hamb pale au wako likzo
but
Akhsanten jmn
ngoja nijarbu kuenda hzo sehemu
 
Back
Top Bottom