Msaada wapi ntapata tution ya mtoto wa drs la tatu magomeni dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wapi ntapata tution ya mtoto wa drs la tatu magomeni dar

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by viane, Jun 27, 2012.

 1. v

  viane Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mtoto wa ndugu yangu kaja likizo kunitembelea niko magomeni mwembechai naomba kwa anayefahamu sehemu ya kufundisha tution anijuze maeneo ya magomeni
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe mwenyewe huwez kumfundisha huyo mtoto mkuu?
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mkuu mpeleke hapo nyuma ya office za tlp magomeni usalama. zipo sehemu kibao tu au hapo manzese maeneo ya kwa bakhresa. Mia
   
Loading...