msaada wapi ntajifunza kutengeneza photocopy mashine na printer? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wapi ntajifunza kutengeneza photocopy mashine na printer?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ruhazwe JR, Sep 24, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pamoja na kuwa na fani nyingine,natamani kujifunza namna ya kutengeneza photocopy machine ipatapo matatizo,pamoja na printer.naomba kujuzwa kama kunasehemu wanafundisha mantainance za hiv vitu
   
 2. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kozi inatolewa veta,fuatilia upewe fomu kuna kozi nyingi ikiwemo hiyo.
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashukuru mkuu kwan hata mie niliitaji kufahamu ili pia
   
Loading...