Msaada, wapi nitapata vifungashio vya mifuko ya plastic vitakavyokuwa na lebo yangu

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Habari wadau, natambua kuwa mifuko ya plastic imepigwa marufuku kisheria ila ya kutumia kwaajili ya vifungashio imeruhusiwa. Naomba msaada wa kujua kiwanda kinachoprint mifuko ya plastic hasa kwa sisi wajasiriamali wadogo. Natanguliuza shukrani kwa michango yenu
 
Nenda omary packaging uulize wako karibu na jet opposite na SIDO Dsm
 
Back
Top Bottom