MSAADA: Ninaomba kufahamu utaratibu wa kupeperusha bendera ya taifa na bendera binafsi nchini Tanzania

Jun 2, 2020
18
75
Wadau, ninaomba msaada. Nina taasisi ninahitaji kuwa napeperusha bendera ya taasisi na ya taifa. Ninaomba kujua utaratibu wa kisheria ikiwemo.

1. Kushushwa na kupandishwa kwa bendera ya taasisi (shule), je itapandishwa na kushushwa kila siku au yenyewe haishuki?
2. Rangi ya mlingoti na kamba (kuna sheria yoyote inapendekeza rangi fulani na inapiga marufuku rangi binafsi?)
3. Urefu wa mlingoti
4. Eneo la usimikaji (halipaswi kuwa na sifa gani?)
5. Mengineyo

Natanguliza shukrani
 

Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
64
125
Wadau, ninaomba msaada. Nina taasisi ninahitaji kuwa napeperusha bendera ya taasisi na ya taifa. Ninaomba kujua utaratibu wa kisheria ikiwemo.

1. Kushushwa na kupandishwa kwa bendera binafsi
2. Rangi ya mlingoti na kamba
3. Urefu wa mlingoti
4. Eneo la usimikaji
5. Mengineyo

Natanguliza shukrani
Swali la 1 hadi 4, majibu utayapata shule yoyote ya msingi au sekondari iliyo jirani nawe. Mengineyo watayaleta wadau!
 

1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,838
2,000
Maswali mengine ni kama ya kijinga lkn yana Impact sana.
Nasubiri majibu.
Na mm nipandishe bendera ya Israel hapa Home.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom