Wimbo namba 112 huoKwanini mkuu?
Mkuu inaonekana unataka kurekodi wimbo kwa kutumia beat/ala ya mtu mwingine (kama ipo). si atahitaji malipo? "nimewaza tu kwa sauti"Mkuu wewe ni mpigaji?kama unaweza kupiga jitahidi utusaidie
Mkuu mi shida yangu ilikuwa instrumental ya wimbo ambao unatumika kuabudu kanisani ambao kimsingi upo huru kuimbwa na yeyote na hakuna ala/beat ambayo ipo,na shida yangu ni matumizi binafsi tu na sio biashara ndio mdau akanijibu kwamba akiwa huru anaweza kupiga.Mkuu inaonekana unataka kurekodi wimbo kwa kutumia beat/ala ya mtu mwingine (kama ipo). si atahitaji malipo? "nimewaza tu kwa sauti"