Msaada, wapi naweza kupata hizi karatasi

Msaada, wapi naweza kupata hizi karatasi

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
432
Reaction score
75
Naomba kwa anaejua anielekeze mahali naweza kupata karatasi za kuprint matangazo na bronchures kwa hapa arusha au hata dar.
 
Dar nenda Kariakoo karibu na club ya Yanga.
 
Asante ndugu. Unaeeza kujua garama zake

Hapana boss kwakweli sijui unless mpaka kwenda pale na kuuliza au waje wadau wanaojua kiundani juu ya hilo...or otherwise u pay me nikafanye hiyo kazi km ww upo mbali
 
Back
Top Bottom