Kweli umejiandaa
You are welcome!
Pamoja sana! Some people are silently valued! U are one of them!
Wala sio kivile! Sema vitu ambavyo unakaa navyo kwa muda mrefu ni vyema ukavitazama kwa utofauti! Kuliko kuweka a lot of complications kwenye sherehe mi naona ni vyema ukataza vitu kama pete ambavyo daily vipo on your display!
Hiyo m1 iko mahala pake
Tanzanite ndio habari ya mujini
Gram kuanzia 2 na kuendelea
Gram 1 inakuwa nyembamba sana na haina mvuto
Bei ya sasa siifahamu watanisaidia wadau.
Angalizo:
Nenda kwa sonara na mtu anayefahamu dhahabu halisi wengi wao sio waamifu kanyabonya.
mimi hapa nina pete ya 3 tangu ile niliyopewa wakati nachumbiwa/naolewa......Hivi inafaa kweli kama nimejiskia kumbadilishia mke wangu engagement ring nikamnunulia nyingine!!!!! Huwa inaruhusiwa??
Natamani sana kui-upgrade hiyo anayoivaa kwa sasa.
gfsonwin; Mamndenyi; Fixed Point na wengine wenye ufaham juu ya hili.
Iron sorry kwa kuulizia swali langu kwenye thread yako, hata hivyo sikuona umuhimu sana wa kuifungulia thread nyingine.
kwa bei aliyotaja namshauri mdau aweke kitu cha WHITE GOLD, kito cha TANZANITE. iNDIA STREET pale maduka mengi mengi yaanauza dhahabu original na kwa gm1 ya white gold ni kama sh 78000-100000/= hapo anoneaweza kuwa na optio n ya gm3 hivi akawekamo na tanzanite stone. hii ndio habari ya MUJINI KWA SASA.
HEBU AKAJARIBU KWA MASONARA HAWA
YAKUUB, JEWELLERS, UNIQUE JEWELLERS, CROWN JEWELLERS NA MBONGO MWENZETU NCHIMBI HUYU YUKO MIGOMIGO.
Hivi inafaa kweli kama nimejiskia kumbadilishia mke wangu engagement ring nikamnunulia nyingine!!!!! Huwa inaruhusiwa??
Natamani sana kui-upgrade hiyo anayoivaa kwa sasa.
gfsonwin; Mamndenyi; Fixed Point na wengine wenye ufaham juu ya hili.
Iron sorry kwa kuulizia swali langu kwenye thread yako, hata hivyo sikuona umuhimu sana wa kuifungulia thread nyingine.
hapo nimekuelewa! Nawaza kwenda india street kama ulivyoshauri na pale mapipa kwa nchimbi. Ila india street sipajui [au kama napajua sijui kama ndio india street]. Kama ukinielekeza nitashukuru!