Kama kweli wewe ni bikra ya ukweli ( sio ya kichina),,,
USIKUBALI KUFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA..
Yaani umevuka vishawishi vya teanage bila kumegwa,, hadi unafika 26 umejitunza then unashindwa kumalizia miaka michache iliyobaki ukamilishe rekodi yako ya kukatwa bikra usiku wa harusi yako..
Nasema rekodi sababu wewe ni mmoja katika wasichana laki 1 wenye bikra kwa umri wako wa 26.
MIMI MWENYEWE FISI LAKINI KWA MWANAMKE KAMA WEWE SIKUMEGI.. Na Nakupa salute zako kwa hilo na USIKUBALI narudia tena USIKUBALI na tena tena nakwambia USIKUBALI KUVUA CHUPI HADI USIKU WA NDOA..
Hiyo zawadi ya ushindi mwambie Sikamona utampa kwenye USiku wa ndoa yenu