Kwanza hauhitaji mtaji katika ile biashara. Unahitaji tu utambulisho kutoka serikali ya mtaa na udhamini tu. Ukifika pale utapewa lile bag na mzigo na utaingia mtaani kuuza. Jioni utarejesha palepale utalipia hela yao utabaki na faida yako. Kama hujamaliza utawarudishia tu.
Kwa ufupi hicho ndio nijuacho kuhusu hilo. Kwa zaidi unaweza ukafika magomeni kuuliza zaidi. Usiogope