msaada wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wangu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by muhandu, Jan 24, 2012.

 1. muhandu

  muhandu JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nina ndugu yangu ana BSC.Agriculture General toka SUA,ana upper second na ana masters in intellectual property Rights toka Africa University (zimbabwe) anaweza kufundisha intellectual property rights, kutrain trainers au kazi nyingine yoyote. yupo dar es salaam. wandugu yeyote wa kumsaidia apate ajira pls. nawakilisha.
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  We si useme 2 unatafuta mwenyewe ukikubali 2 ndio nakupa michongo.
   
 3. t

  tunyi Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana KANCHI sio mimi ninayetafuta. kama unataka kumsaidia fanya hivyo mkuu.
   
Loading...