Msaada wandugu

Msaada wandugu

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
5,132
Reaction score
6,985
Gego linaniota pia pembezon mwa taya kuna vitissue vinaota hapa nilipo mandible tissue zinaniuma sana nitumie dawa gani nitulize haya maumivu,leo nimeshindwa kabs kutafuna vyakula,nikiachama ubaridi ukiingia kinywani napatwa na maumivu makali sana
Tangu asubuh nakunywa maziwa na maji tuu.
 
Meno hayakusumbui?
Meno hayasumbui,gego ndy linaota sasa kunavinyama vimejitokeza vinauma sana sometimes hata kuoongea nashindwa,nikiongea au kupanua mdomo nihisi maumivu makali sn.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom