Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Habari za muda ndugu wa JamiiForums

Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno ya rangi.

Asanteni, nawasilisha.
Hii kitu bado kipo
 
Yaani ni hivi:

[ b] bold [ /b]

Lakini hapo juu, ukiandika hivyo ndani ya brackets bila kuacha space... itatokea neno bold au neno yoyote ile utakae chagua hapo katikati ya hizo brackets mbili kwenye mfumo wa bold..
 
Back
Top Bottom