Msaada wanaume tu

hahahahahhaa nimecheka kwa nguvu ofisini
 
ukifika numero troi unistue
 
Wewe lazima utakuwa ni mwanaume wa Dar, unawezaje kumuomba demu namba ambae hujazoeana nae??!
Wanaume wa mikoan bhana dem anaombwa namba siku ya kwanza anatoa vzr na keshow watu wanaruka nae gest
Sema mleta mada kakosea tekniq
 
Una mazoea nae kiasi gani? Kama ni kidogo ongeza, msifie sifie...usimkwaze.. kadiri siku zinavyoenda ukizidisha ukaribu namba atakupa tu
Hahahhaha mkuu Leo nn shida. Sio kawaida koment zako kuwa chini..
 

Muda mwingine uandike kwa lugha yetu wengine tumeishia darasa la saba tena huko mashambani hatujakuelewa
Ila kidogo nimeona kuna point za muhimu
 
Nunua gari lako, mpe lifti siku tatu uone kama atakuchomolea..!!
 
Aiseeh bwana callmeGhost yani kwa ulichokiandika hapa kama ndivyo unavyofanyaga..basi utakuwa unawang'oa wengi.

Bora niwe mkweli jamn.kwa mbwembwe za huyu jombaa lazima ningetoa namba tu!!loh jamaa uko vizuri
 
Jombaa ukipanda na binti kwenye gari mlipie nauri alafu kausha sawa
 
Ulidha anafanyia wapi akikwambiea peleka kazi kwake hata kama huna uwezo wa kumudu kazi basi kaangarie anachokifanya kisha ondoka jenga mazoea kwanza namba atakupa tu
 
Nenda taratibu tu kijana.huku unaingiza voko zenye akili mdogo mdogo.ila jaribu kufanya tabia yako iendane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…