Msaada: Wanaoijua Bandari college DSM

Msaada: Wanaoijua Bandari college DSM

vidudi

Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
75
Reaction score
37
Jamani naombeni msaada wenu, kwa mweyekujua jinsi ya kupata joining instruction ya chuo cha Bandari Dar es Salaam au kama umesoma hapo, au kuna mtu unamjua anasoma hapo msaada plz.
 
Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni.
 
Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni.
Ahsante kaka ila naomba msaada zaidi kwa hili hata contact zako naomba unipatie kwa kuni PM
 
Back
Top Bottom