Siwaungi mkono hawa jamaa wenye hasira kali.
Iweje mtu ahukumiwe bila kusikilizwa?
Siwaungi mkono hawa jamaa wenye hasira kali.
Iweje mtu ahukumiwe bila kusikilizwa?
Siwaungi mkono hawa jamaa wenye hasira kali.
Iweje mtu ahukumiwe bila kusikilizwa?
mkuu hao wako wengi tu!! tena siku hizi zinaitwa "MAHAKAMA JAMII" zinatoa hukumu shirikishi.Huna haja ya kutafuta wakili. Hi ni sawa na POLISI JAMII na ulinzi shirikishi!!
Khaa!
Serikali wanashindwa kuadabisha na kusimamisha haki!
Unaona kibaka leo kakuibia, bahati mbaya afande wanamshika kabla ya kumuadabisha, kesho yake kibaka yule yule eti anakuibia tena!
...
Kudadadeki tuchukie tu! Tukishika muhalifu tunachukua summary procedure tunaadabisha!
kama mabina aliweka kesi mahakamani 15 years na mahakama ikawa kwenye mfuko wake tena wa shati,ulitarajia sisi wenye hasira kali tufanyeje ?
Nenda na gari singida ugonge watakujia fasta.
mkuu hao wako wengi tu!! tena siku hizi zinaitwa "MAHAKAMA JAMII" zinatoa hukumu shirikishi.Huna haja ya kutafuta wakili. Hi ni sawa na POLISI JAMII na ulinzi shirikishi!!
Hahaha Asante. MAHAKAMA JAMII haihitaji upotevu wa muda wala unyenyekevu kwa bwana wakili/hakimu hukumu papo hapo
Wadau,
Nimekua nikisikia sana matukio mbalimbali yanayofanywa na hawa wanaoitwa "Wananchi wenye Hasira Kali".
Matukio hayo ingawa mengi yamekua ni yenye kuumiza upande mmoja, lakini upande wa pili nayaita ni matukio ya kishujaa, kwani mengi yanalenga katika kutafuta haki kwa njia nyingine.
Sasa kuna issue nafikiri wanaweza kunisaidia hawa jamaa, kuna yeyote mwenye kujua wapi naweza kuwapata hawa "Wananchi wenye Hasira Kali???
MBABE WA KIJIJI AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI - MBEYA | Bomba FM Radio
Dan Chibo: Mbeya: Wananchi Wenye Hasira Wachinja Hadi Kuua Watoto Wawili wa Diwani wa CCM
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe - MPEKUZI
Blogu ya Wananchi: WANANCHI WENYE HASIRA KALI WATAKA KUICHOMA AMBULANCE LIVE!!
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/583614-basi-la-mtei-lachomwa-moto.html
VIBAKA WAWILI WAPIGWA KICHAPO CHA NGUVU NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI HADI KUFARIKI, ANGALIA HAPA | AMINIA
JANJARUKA: WANANCHI WENYE HASIRA KALI WAMUUA LIVE MCHAWI ALIYEDONDOKA KWA UNGO .. TAZAMA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA ....
muwapige 2 maana 2mechoka., aid the tz PMmkuu hao wako wengi tu!! tena siku hizi zinaitwa "MAHAKAMA JAMII" zinatoa hukumu shirikishi.Huna haja ya kutafuta wakili. Hi ni sawa na POLISI JAMII na ulinzi shirikishi!! Hahaha Asante. MAHAKAMA JAMII haihitaji upotevu wa muda wala unyenyekevu kwa bwana wakili/hakimu hukumu papo hapo
ver true mkuuWenye hasira kali mana kama sheria inayosimamiwa na chombo husika imeshndwa kutenda haki that's just alternative way
mkuu hao wako wengi tu!! tena siku hizi zinaitwa "MAHAKAMA JAMII" zinatoa hukumu shirikishi.Huna haja ya kutafuta wakili. Hi ni sawa na POLISI JAMII na ulinzi shirikishi!!