Msaada wanajf

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari zenu wanaJF,
Nimependa sana mchango wenu katika kuelimishana kuhusu mambo ya teknolojia,hasahasa katika kuchakachua modem
Nina laptop yangu aina ya DELL PRECISION,inafanya kazi vizuri sana ingawa ni nzee ila cover lake la juu(housing) limechakaa sana hadi naona aibu.
Hivyo naombeni ushauri wenu wapi nitapata cover jipya la laptop yangu.
Thankyou in advance guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…