msaada wanaJF,upungufu wa nguvu za kiume

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wana JF habarini za jioni

Mimi nina miaka 31 sasa,hapo awali nilikuwa napiga mzigo kama kawaida ila kuna kipindi fulani nyuma (kama mwaka hivi umepita) nikatokewa na hali ya upungufu wa nguvu,jogoo akawa hana nguvu za kutosha kusimama, wakati mwingine nikiwa na mwanamke inaweza isisimame kabisa au ikasimama nikapiga goli moja then ikalala na isisimame tena kwa wakati huo, tatizo lilanza hivi;

sikuwa na kazi kwa wakati huo hivyo nilikuwa na wasiwasi sana wa ukali wa maisha na lishe pia ilikuwa duni kwa mda fulani lakini hata niliporudia lishe bora tatizo bado likaendelea,nikatumia dawa za mizizi ya kienyeji ambayo nilipewa na mtu mmoja huko nilipokuwa akwa wakati huo,nikatumia baada ya muda nikajikuta nimegain momentum na kiawa napiga kama kawa, lakini sina uhakika sana kama ile dawa ndo ilinisaidia kwa sababu wakati huo pia anixiety na stress zilipungua,sasa tatizo hilo limejitokeza tena,na nina stress na anxiety za maisha kiasi kutokana na kipato changu hakitoshelezi mahitaji ya maisha yangu,sasa haina nguvu tena kama mwanzo,naomeni msaada wa ushauri na tiba wakuu, najua humu kuna wataalamu madaktari na wengine wenye uzoefu na matatizzo kama haya.

Pls nipeni msaada wenu ukipenda unaweza ukanipm pia
Asanteni
 
Bwana Jeff umesema una stress za kutosha kwa ajili ya maisha magumu... Sasa nguvu za kiume za nini tena kwa wakati huu? Tafuta hela kwanza hizo nguvu za kiume zitarudi zenyewe, halafu epuka saana dawa za kienyeji na hata za kizungu zinazoongeza nguvu za kiume. Nguvu za kiume is just a set of mind.
 
Mada za nguvu za kiume na blah blah kama hizo zimejadiliwa sana....nafikiri nazingine zimekuwa Sticky...

Hebu search utaziona na majibu utapata.
 
Mada za nguvu za kiume na blah blah kama hizo zimejadiliwa sana....nafikiri nazingine zimekuwa Sticky...

Hebu search utaziona na majibu utapata.

nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Mi nilifikiri upungufu wa nguvu za kike...za kiume dawa ziko kila uchochoro. Ni janga la kitaifa
 
nguvu za kiume na huna hela mkuu utaishia kupiga miponyeto daily,tafuta mihela bana
 
Back
Top Bottom