jamani nna bachelor ya procurement and supply managent:natoka mkoani nimefika hapa jijini toka dec nimezunguka sana kutafuta kazi yoyote ile niko tayar ila jaman mana naish ktk mazngira magum sana kwa yoyote mwenye taarifa wapi naweza pata ajira au kibarua anisaidie natanguliza shukran zangu za dhat kwenu waungwana