Msaada wa kuzuia hii perios. anakuja j.mosi analala j.pili anarudi.Sasa msaada wa nini kuizuia hiyo period ili wewe ufaidi,tumshauri arudishe nauli au aje period itakapoisha? kwani anakuja na kuondoka si atakaa siku mbili hiyo period itakuwa imeenda kwao
Habari zenu.
Sasa yule shemeji wenu wa fb baada ya kumuimbisha kwa sanaa si ameshaingia line. Na apointimenti yetu ni the coming sunday akitokea mkoani.
Sasa bahati mbaya amepiga mahesabu yake j.pili hiyo atakua ndo anaingia period. Daah!
Naomba mnisaidie kama kuna njia ya kuzuia hiyo kitu japo kwa siku kadhaa hivi ili aitumie. kwani na nauli nishamtumia.
Msaada please.
We kula mechi tu katika hari ya usafi.hakuna tatizo kiafya
Atumie 0713...hakuna tatizo.