Jamani naombeni msaada kuna PC yangu aina ya Toshiba iliharibika nikapeleka kwa fundi akaniambia moto ulikuwa mkubwa PC ikaungua. Kumwachia anitengenezee akaweka Motherboard mafuta. Nimeipeleka kwa fundi mwingine kaniambia haiwezi kupona mpaka ninunue motherboard mpya na upatikanaji wake ni mgumu mpaka nipate anayeuza vifaa vya Computer. Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.