Msaada wana JF

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Habari JF

Naomba Msaada kama kuna mtu anayo software ya Ku upgrade Ram na Hard disk kwani laptop yangu LG Express Dual F1 Memory yake 1012MB na HDD ni 110GB nataka ram ifika 3GB na HDD Ifike 500GB please JF naomba msaada
 
Kanunue HD kubwa na RAM kubwa zaidi na ubadili hizo ndogo zilizopo. Upgrade yapa siyo software ila Hardware.....
 
habari jf

naomba msaada kama kuna mtu anayo software ya ku upgrade ram na hard disk kwani laptop yangu lg express dual f1 memory yake 1012mb na hdd ni 110gb nataka ram ifika 3gb na hdd ifike 500gb please jf naomba msaada

pole mkuu, ushauri huo hapo juu, naongezea tu kabla hujanunua hardware yoyote nenda kwenye site ya lg uangalia uwezo wa mwisho wa pc yako kubeba HDD na RAM (EXPANDABILITY), kama ww hauko handy na star ndogo basi nenda nayo dukani unakonunua hizo hardware watakuwekea Bure, usinunue tu hvhv RAM zingine zinaweza ziskubali kwako! Most of rams and hdds ni plug and play baba, unachomeka na kufunga tu kisha muziki juu.
 
Sikonge na Amoeba Nashukuru sana kwa msaada wenu muzuri sasa ni wapi nitapata na mimi nipo nje ya TZ na bei ya hapo TZ ni kiasi gani nitawaagiza wana JF
 
Back
Top Bottom