Mdada mleta mada, kila nikisoma mada yako naona kama umri wako ni mdogo na umegubikwa na utoto...
Wewe hadi leo hii ina maana hujawahi kutana na watu wenye mazoea ya kuita majina kama mpenzi, mpendwa n.k kwa watu ambao hata hawana uhusiano nao kimahaba??
Maneno "Mpenzi samahani kwa kukuchelewesha..." ni mepesi sana kusema eti umeshindwa na ndoa. Haya ngoja nikuulize, huyo mumeo alijibu vipi huo ujumbe wa maandishi???
Some minds are so crippy jamani loh!!! wewe sema ushapata mwanaume mwingine anayekuzuzua na unajifanya kujifaragua hapa uhalalishe hiyo nia yako...."mwanamke mjinga/mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyeweeeeee".