Msaada wana JF

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
11,608
8,731
Kwa mtu yeyote anayejua kiwango cha ada sifa za kujiunga na ordinary diploma kwa mtanzania ktk UGANDA MANAGEMENT INSTITUTE au Uganda Christian University na Makerere University maana ktk web zao hawajaonyesha
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Jaribu kupitia web zao ndg utapata jibu ambalo ni accuracy.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom