naomba mnielekeze jinsi ya kupata play store. ilikuwa inaniambia kuwa unfortunately play store has stop. baada ya hapo nikajaribu kufanya instalation upya ndo ikopeza mazima. kwa sasa simu yangu haina play store. ninatumia sim aina ya tablet P9. anatefaham plz mnisaidie jinsi ya kupata