Mbulukenge
Senior Member
- Jun 26, 2019
- 135
- 316
Anayetaka kujiua hanaga muda hata wa kupost ivi...Endelea na mapambanoNapitia changamoto za msongo wa mawazo nafikiri kujiua tu.
kabla ujajiua fikiria watu utakao waacha nyuma yako familia yako na marafiki wakoNapitia changamoto za msongo wa mawazo nafikiri kujiua tu.
Msongo wa mawazo unaotokana na nini?Napitia changamoto za msongo wa mawazo nafikiri kujiua tu.
Jitahidi kupata muda wa kuongea na muumba wako!namaanisha fanya maombi sana!tema sumu/uchungu wote kwa MUNGU!then inuka kapambane na hyo changamoto uliyo nayo!utatoboa tuNapitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.
Sikuwahi fika hatua hii ya upumbavuHiyo ni hali ya kawaida sana kwenye age ya 19yrs - 24.
Hosea 4:6Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.