Msaada wana JF,ni mimba kweli au ndo kibuti?

Msaada wana JF,ni mimba kweli au ndo kibuti?

mimba zinavituko jamen, nilikuwa na rum mate wangu first year alikuwa mjamzito, dada alinichukia hadi nikataman kuhama rum. lakin alipojifungua tukawa mabest wakubwa hadi leo hii.

Pole sana Demba mimba haina fórmula eh...dah
 
Mmmh mimba zina mambo ila kama hiyo too much. Wengine huwa wanajifanyisha na kucngizia mimba coz kuna mdada nafanya nae kaz ana mimba bwana eenh kwenye vikao anaongea kero yoyote anayojickia akiamua anakuchana mpaka unataman kumtwanga cha kushangaza anafanya makusud akicngizia mimba. You have to be very more careful coz iyo had kulala nje inasikitisha. Mchunguze vzur...
 
Mh hyo mimba ya kichina nin mpaka inataka kulala nje.mkuu hapo kuna lake jambo.4 nw u cant prove hyo mimba ya nani bt huyo mpangaj mwenzako uwe nae makini.
 
hawa wanawake sijui wanaangaliaga na sura wamfanyie nani ujinga wao??

hivi ninyi mabinti wa mijini mna matatizo gani? kwanini mkipata mimba mnajifanya wana mieleka na wababe namna hiyo?

mbona wenzenu wa vijijini wako tofauti kabisa na ninyi? au wao si wanawake kamili?

aisee mnachosha, mnakera....!!! mkipendwa na kunyenyekewa mnajifanya ninyi ndio ninyi!!!!
 
kinachochekesha kaomba mwenyewe kuhamia kwa mshkaji tena bila ndoa rasmi kisha anafanya vituko vya hivi? Mi ningemrudisha kwao akijifungua DNA kisha probation inaanza upya! hakunaga mimba ya ivo bana
 
Yana mwisho, hivyo unaweza kumuvumilia. Muombe Mungu akujalie upendo mkuu ili uweze kuhitimisha vema safari hii
 
Fungeni ndoa angalau mtoto awakute ni wanandoa.

Hayo mengine huna budi kuyavumilia,umeyataka mwenyewe.
 
hawa wanawake sijui wanaangaliaga na sura wamfanyie nani ujinga wao??

hivi ninyi mabinti wa mijini mna matatizo gani? kwanini mkipata mimba mnajifanya wana mieleka na wababe namna hiyo?

mbona wenzenu wa vijijini wako tofauti kabisa na ninyi? au wao si wanawake kamili?

aisee mnachosha, mnakera....!!! mkipendwa na kunyenyekewa mnajifanya ninyi ndio ninyi!!!!

yameniingia haya
 
Inaweza kuwa mimba ndio chanzo cha kuwa hivyo.
Jaribu kofi kidogo azibuke. Wengine ukifanya hivyo ndio mnakaa sawa.
Mengineo vumilia ajifungue utajua la kufanya.
Pole.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Duuu pengine ni minba mvumilie,,
Walau mimba ikifikikisha miez sita hv atabadilika maana kila mimba inakuja na stayle yake kwa kweli,,endelea kumvumilia tuuu
 
kinachochekesha kaomba mwenyewe kuhamia kwa mshkaji tena bila ndoa rasmi kisha anafanya vituko vya hivi? Mi ningemrudisha kwao akijifungua DNA kisha probation inaanza upya! hakunaga mimba ya ivo bana

Hahahaha kitufe cha like hakipo leo kikirudishwa utachukua like yako teh teh
 
mimba zinavituko jamen, nilikuwa na rum mate wangu first year alikuwa mjamzito, dada alinichukia hadi nikataman kuhama rum. lakin alipojifungua tukawa mabest wakubwa hadi leo hii.

umenitia nguvu ndugu..
 
Inaweza kuwa mimba ndio chanzo cha kuwa hivyo.
Jaribu kofi kidogo azibuke. Wengine ukifanya hivyo ndio mnakaa sawa.
Mengineo vumilia ajifungue utajua la kufanya.
Pole.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk

juzi nime mdabua makofi manne ya shavuni ...hakuni semesha kwa muda wa dk takribani nane ,na baadaye aliniambia "mwanao atakapo kuja kuku zaba vibao usishangae"akamaliza kufuta machozi lakini bado vitimbi vina endelea.
 
Wala sitakubaliana na mtu yoyote atayedai kuwa hiivyo ni vituko vya mimba...

Huyo bi mkubwa anayo yake tu, ni kweli wanawake wakiwa wajawazito huwa na mabadiliko ya kitabia lakini si kwa kiasi kilichopitiliza kama hicho...

Ushauri wangu.
Tafuta kanisa haraka mkatubu hiyo dhambi ya uasherati, tafuta mahari lipia ili binti awe wako jumla.
mimba zingekuwa hivi zingeogopwa kama hiv
 
kinachochekesha kaomba mwenyewe kuhamia kwa mshkaji tena bila ndoa rasmi kisha anafanya vituko vya hivi? Mi ningemrudisha kwao akijifungua DNA kisha probation inaanza upya! hakunaga mimba ya ivo bana
hakunaga kabiasa kaka! huyo ana lake na marcus wake
 
sijawahi ona hiyo mimba ya hadi kuondoka na kwenda kushinda na mwanaume mwingine hata kulala home unahama! kweli mimba zina mambo, ila hii naona kali zaidi, mngekuwa mmefunga ndoa ungempeleka kwenu hadi ajifungue, sasa hapo vumilia hadi mwisho wa huo mchezo
 
jitahidi kumyamazia labda unabishana nae alafu.........kama humweleni jiongeze ila tunza mimba yako.
 
Back
Top Bottom