Msaada wana Jf naumbuka mtu mzma

Msaada wana Jf naumbuka mtu mzma

unataka kuoa?
na unachofikiria ni kuchezea shanga?
your biggest worry?
umewahi fikiria ten years from now?
ada za watoto?
mtakaa wapi?
kazi yako?ukifukuzwa?biashara ikifa?
kodi zinaongezeka.anything for you to worry?

shanga??????

Hahaaaa....The boss!!
 
hata hlo n sehem ya ndoa kwan wangap wana mali na kila kitu lakn udhaif wakitandan ndo unawatenganisha? Tunajifunza kwakuona mifano hai.
 
unataka kuoa?
na unachofikiria ni kuchezea shanga?
your biggest worry?
umewahi fikiria ten years from now?
ada za watoto?
mtakaa wapi?
kazi yako?ukifukuzwa?biashara ikifa?
kodi zinaongezeka.anything for you to worry?

shanga??????
big brother kaongea hapa!
lol!
 
Siku moja na wewe mpe surprise ya kuvaa shanga kama yeye...
Halafu muombe azichezee, wakati huo wewe uendelee kuchukua notsi...
Nadhani hadi hapo utakuwa ushajifunza ni jinsi gani huwa zachezewa

ahahahhahah mtani!
avae ngapi sasa?
 
Mimi sijaelewa, mapenzi ya simu na shanga vinahusianaje?
 
Jaman eee kuna dem ambaye tumepanga kuoana nampenda sana na yeye ananipenda sasa yeye anapenda sana mapenz ya kwenye sim tatzo sasa yeye anapenda kuvaa chachandu(shanga) sasa mie sijui kuzitumia na yeye anapenda sana nizichezee n mtoto wa kitanga. Naomba anaejua jnsi znavotumiwa anidokeze kdogo naumbuka mwenzenu

Unazila kama dozi yaani 3 mara 3 kwa siku uzitafune.
 
unataka kuoa?
na unachofikiria ni kuchezea shanga?
your biggest worry?
umewahi fikiria ten years from now?
ada za watoto?
mtakaa wapi?
kazi yako?ukifukuzwa?biashara ikifa?
kodi zinaongezeka.anything for you to worry?

shanga??????

Na kwa sababu hii basi!, Ndio maana mie nipo JF.
 
Siku moja na wewe mpe surprise ya kuvaa shanga kama yeye...
Halafu muombe azichezee, wakati huo wewe uendelee kuchukua notsi...
Nadhani hadi hapo utakuwa ushajifunza ni jinsi gani huwa zachezewa

Big LIKE..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom