Msaada wana JF kuhusu Computer Yangu

Msaada wana JF kuhusu Computer Yangu

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,451
natumia hp ila juzi nimepiga waindow 8.1 ila baada ya kupiga tyuu window nkiiwasha hainiletei boot menu msaad wadau ila kuwaka inawaka fresh na naitumia bila ttzo ila ndo hapo haina boot
 
kama inawaka bila kuomba F1(boot) mi naona hakuna tatizo tena ndio inafaa iwe hivyo
 
natumia hp ila juzi nimepiga waindow 8.1 ila baada ya kupiga tyuu window nkiiwasha hainiletei boot menu msaad wadau ila kuwaka inawaka fresh na naitumia bila ttzo ila ndo hapo haina boot

hivyo ndo poa ..kikubwa unajua ukitaka kuboot utumie key gani.
 
Back
Top Bottom